Native Bible

Micah 7:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dunia itakuwa ukiwa kwa sababu ya wakazi wake, kwa sababu ya matunda ya matendo yao.

Micah 7:13 in English

Micah 7:13 · Berean Standard Bible

Then the earth will become desolate because of its inhabitants, as the fruit of their deeds.

Context

11Siku ya kujenga kuta zako itawadia, siku ya kupanua mipaka yako. 12Siku hiyo watu watakuja kwako kutoka Ashuru na miji ya Misri, hata kutoka Misri hadi Frati na kutoka bahari hadi bahari na kutoka mlima hadi mlima. 13Dunia itakuwa ukiwa kwa sababu ya wakazi wake, kwa sababu ya matunda ya matendo yao. 14Wachunge watu wako kwa fimbo yako, kundi la urithi wako, ambalo linaishi peke yake msituni, katika nchi ya malisho yenye rutuba. Waache walishe katika Bashani na Gileadi kama ilivyokuwa siku za kale. 15“Kama siku zile mlipotoka Misri, nitawaonyesha maajabu yangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.