Mathayo 6:9
Matthew 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe.
Matthew 6:9 in English
Matthew 6:9 · Berean Standard Bible
So then, this is how you should pray: ‘Our Father in heaven, hallowed be Your name.
Context
7Nanyi mnaposali msiseme maneno kama wafanyavyo watu wasiomjua Mungu. Kwa maana wao hudhani kwamba watasikiwa kwa sababu ya wingi wa maneno yao. 8Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. 9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba:
“ ‘Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe. 10Ufalme wako uje.
Mapenzi yako yafanyike
hapa duniani kama huko mbinguni. 11Utupatie riziki yetu
ya kila siku.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.