Mathayo 6:10
Matthew 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ufalme wako uje. Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.
Matthew 6:10 in English
Matthew 6:10 · Berean Standard Bible
Your kingdom come, Your will be done, on earth as it is in heaven.
Context
8Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. 9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba:
“ ‘Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe. 10Ufalme wako uje.
Mapenzi yako yafanyike
hapa duniani kama huko mbinguni. 11Utupatie riziki yetu
ya kila siku. 12Utusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tulivyokwisha
kuwasamehe wadeni wetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.