Mathayo 6:12
Matthew 6:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tulivyokwisha kuwasamehe wadeni wetu.
Matthew 6:12 in English
Matthew 6:12 · Berean Standard Bible
And forgive us our debts, as we also have forgiven our debtors.
Context
10Ufalme wako uje.
Mapenzi yako yafanyike
hapa duniani kama huko mbinguni. 11Utupatie riziki yetu
ya kila siku. 12Utusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tulivyokwisha
kuwasamehe wadeni wetu. 13Usitutie majaribuni,
bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu
[kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu,
na utukufu, hata milele. Amen].’ 14Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.