Mathayo 6:11
Matthew 6:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utupatie riziki yetu ya kila siku.
Matthew 6:11 in English
Matthew 6:11 · Berean Standard Bible
Give us this day our daily bread.
Context
9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba:
“ ‘Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe. 10Ufalme wako uje.
Mapenzi yako yafanyike
hapa duniani kama huko mbinguni. 11Utupatie riziki yetu
ya kila siku. 12Utusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tulivyokwisha
kuwasamehe wadeni wetu. 13Usitutie majaribuni,
bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu
[kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu,
na utukufu, hata milele. Amen].’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.