Mathayo 5:40
Matthew 5:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Matthew 5:40 in English
Matthew 5:40 · Berean Standard Bible
if someone wants to sue you and take your tunic, let him have your cloak as well;
Context
38“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. 41Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili. 42Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.