Mathayo 5:38
Matthew 5:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’
Matthew 5:38 in English
Matthew 5:38 · Berean Standard Bible
You have heard that it was said, ‘Eye for eye and tooth for tooth.’*
Context
36Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. 37‘Ndiyo’ yenu iwe ‘Ndiyo,’ na ‘Hapana’ yenu iwe ‘Hapana.’ Lolote zaidi ya hili latoka kwa yule mwovu. 38“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.