Native Bible

Matthew 5:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia.

Matthew 5:39 in English

Matthew 5:39 · Berean Standard Bible

But I tell you not to resist an evil person. If someone slaps you on your right cheek, turn to him the other also;

Context

37‘Ndiyo’ yenu iwe ‘Ndiyo,’ na ‘Hapana’ yenu iwe ‘Hapana.’ Lolote zaidi ya hili latoka kwa yule mwovu. 38“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. 41Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.