Native Bible

Matthew 5:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.

Matthew 5:41 in English

Matthew 5:41 · Berean Standard Bible

and if someone forces you to go one mile,* go with him two miles.*

Context

39Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. 41Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili. 42Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa. 43“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.