Native Bible

Matthew 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.

Matthew 5:10 in English

Matthew 5:10 · Berean Standard Bible

Blessed are those who are persecuted because of righteousness, for theirs is the kingdom of heaven.

Context

8Heri walio na moyo safi, maana hao watamwona Mungu. 9Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu. 10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 11“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena dhidi yenu mabaya ya aina zote kwa uongo kwa ajili yangu. 12Furahini na kushangilia kwa maana thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.