Native Bible

Matthew 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena dhidi yenu mabaya ya aina zote kwa uongo kwa ajili yangu.

Matthew 5:11 in English

Matthew 5:11 · Berean Standard Bible

Blessed are you when people insult you, persecute you, and falsely say all kinds of evil against you because of Me.

Context

9Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu. 10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 11“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena dhidi yenu mabaya ya aina zote kwa uongo kwa ajili yangu. 12Furahini na kushangilia kwa maana thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu. 13“Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, yawezaje kurudishiwa ladha yake tena? Haifai tena kwa kitu chochote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.