Native Bible

Matthew 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.

Matthew 5:9 in English

Matthew 5:9 · Berean Standard Bible

Blessed are the peacemakers, for they will be called sons of God.

Context

7Heri wenye huruma, maana hao watapata rehema. 8Heri walio na moyo safi, maana hao watamwona Mungu. 9Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu. 10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 11“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena dhidi yenu mabaya ya aina zote kwa uongo kwa ajili yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.