Native Bible

Matthew 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri walio na moyo safi, maana hao watamwona Mungu.

Matthew 5:8 in English

Matthew 5:8 · Berean Standard Bible

Blessed are the pure in heart, for they will see God.

Context

6Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watatoshelezwa. 7Heri wenye huruma, maana hao watapata rehema. 8Heri walio na moyo safi, maana hao watamwona Mungu. 9Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu. 10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.