Native Bible

Matthew 26:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumuua.

Matthew 26:4 in English

Matthew 26:4 · Berean Standard Bible

and they conspired to arrest Jesus covertly and kill Him.

Context

2“Kama mnavyojua, baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulubiwe.” 3Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la kuhani mkuu, jina lake Kayafa. 4Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumuua. 5Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa Sikukuu, kusitokee ghasia miongoni mwa watu.” 6Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.