Mathayo 26:3
Matthew 26:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la kuhani mkuu, jina lake Kayafa.
Matthew 26:3 in English
Matthew 26:3 · Berean Standard Bible
At that time the chief priests and elders of the people assembled in the courtyard of the high priest, whose name was Caiaphas,
Context
1Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake, 2“Kama mnavyojua, baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulubiwe.” 3Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la kuhani mkuu, jina lake Kayafa. 4Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumuua. 5Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa Sikukuu, kusitokee ghasia miongoni mwa watu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.