Native Bible

Matthew 26:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake,

Matthew 26:1 in English

Matthew 26:1 · Berean Standard Bible

When Jesus had finished saying all these things, He told His disciples,

Context

1Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake, 2“Kama mnavyojua, baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulubiwe.” 3Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la kuhani mkuu, jina lake Kayafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.