Native Bible

Matthew 26:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,

Matthew 26:6 in English

Matthew 26:6 · Berean Standard Bible

While Jesus was in Bethany in the home of Simon the Leper,*

Context

4Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumuua. 5Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa Sikukuu, kusitokee ghasia miongoni mwa watu.” 6Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma, 7naye mwanamke mmoja akamjia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya thamani kubwa; akayamimina kichwani mwa Yesu alipokuwa ameketi mezani kula chakula. 8Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.