Mathayo 24:49
Matthew 24:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Matthew 24:49 in English
Matthew 24:49 · Berean Standard Bible
And he begins to beat his fellow servants and to eat and drink with drunkards.
Context
47Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote. 48Lakini kama huyo mtumishi ni mwovu, naye akasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu atakawia muda mrefu,’ 49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi. 50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. 51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.