Native Bible

Matthew 24:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.

Matthew 24:51 in English

Matthew 24:51 · Berean Standard Bible

Then he will cut him to pieces and assign him a place with the hypocrites, where there will be weeping and gnashing of teeth.

Context

49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi. 50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. 51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.