Native Bible

Matthew 24:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.

Matthew 24:50 in English

Matthew 24:50 · Berean Standard Bible

The master of that servant will come on a day he does not expect and at an hour he does not anticipate.

Context

48Lakini kama huyo mtumishi ni mwovu, naye akasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu atakawia muda mrefu,’ 49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi. 50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. 51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.