Mathayo 24:47
Matthew 24:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Matthew 24:47 in English
Matthew 24:47 · Berean Standard Bible
Truly I tell you, he will put him in charge of all his possessions.
Context
45“Ni nani basi aliye mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake amemweka kusimamia watumishi wengine katika nyumba yake, ili awape chakula chao kwa wakati unaofaa? 46Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo. 47Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote. 48Lakini kama huyo mtumishi ni mwovu, naye akasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu atakawia muda mrefu,’ 49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.