Native Bible

Matthew 23:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’*

Matthew 23:7 in English

Matthew 23:7 · Berean Standard Bible

the greetings in the marketplaces, and the title of ‘Rabbi’ by which they are addressed.*

Context

5“Wao hutenda mambo yao yote ili waonekane na watu. Hupanua vikasha vyao vyenye maandiko ya sheria na kurefusha matamvua ya mavazi yao. 6Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. 7Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’* 8“Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu. 9Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.