Native Bible

Matthew 23:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu.

Matthew 23:8 in English

Matthew 23:8 · Berean Standard Bible

But you are not to be called ‘Rabbi,’ for you have one Teacher, and you are all brothers.

Context

6Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. 7Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’* 8“Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu. 9Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni. 10Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Kristo.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.