Native Bible

Matthew 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi.

Matthew 23:6 in English

Matthew 23:6 · Berean Standard Bible

They love the places of honor at banquets, the chief seats in the synagogues,

Context

4Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza. 5“Wao hutenda mambo yao yote ili waonekane na watu. Hupanua vikasha vyao vyenye maandiko ya sheria na kurefusha matamvua ya mavazi yao. 6Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. 7Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’* 8“Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.