Native Bible

Matthew 23:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni.

Matthew 23:9 in English

Matthew 23:9 · Berean Standard Bible

And do not call anyone on earth your father, for you have one Father, who is in heaven.

Context

7Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’* 8“Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu. 9Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni. 10Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Kristo.* 11Yeye aliye mkuu kuliko ninyi nyote miongoni mwenu atakuwa mtumishi wenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.