Mathayo 18:24
Matthew 18:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta* 10,000, aliletwa kwake.
Matthew 18:24 in English
Matthew 18:24 · Berean Standard Bible
As he began the settlements, a debtor was brought to him owing ten thousand talents.*
Context
22Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. 23“Kwa hiyo Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme aliyetaka kufanya hesabu zake za fedha na watumishi wake. 24Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta* 10,000, aliletwa kwake. 25Kwa kuwa alikuwa hawezi kulipa deni hilo, bwana wake akaamuru kwamba auzwe, yeye, mkewe, watoto wake na vyote alivyokuwa navyo, ili lile deni lipate kulipwa. 26“Yule mtumishi akampigia magoti, akamsihi yule bwana akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.