Native Bible

Matthew 18:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa hiyo Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme aliyetaka kufanya hesabu zake za fedha na watumishi wake.

Matthew 18:23 in English

Matthew 18:23 · Berean Standard Bible

Because of this, the kingdom of heaven is like a king who wanted to settle accounts with his servants.

Context

21Ndipo Petro akamjia Yesu na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?” 22Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. 23“Kwa hiyo Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme aliyetaka kufanya hesabu zake za fedha na watumishi wake. 24Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta* 10,000, aliletwa kwake. 25Kwa kuwa alikuwa hawezi kulipa deni hilo, bwana wake akaamuru kwamba auzwe, yeye, mkewe, watoto wake na vyote alivyokuwa navyo, ili lile deni lipate kulipwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.