Mathayo 15:25
Matthew 15:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!”
Matthew 15:25 in English
Matthew 15:25 · Berean Standard Bible
The woman came and knelt before Him. “Lord, help me!” she said.
Context
23Lakini Yesu hakumjibu neno. Hivyo wanafunzi wake wakamwendea na kumsihi sana, wakisema, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele.” 24Yesu akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.” 25Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!” 26Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” 27Yule mwanamke akajibu, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka kwenye meza za bwana zao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.