Native Bible

Matthew 15:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule mwanamke akajibu, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka kwenye meza za bwana zao.”

Matthew 15:27 in English

Matthew 15:27 · Berean Standard Bible

“Yes, Lord,” she said, “even the dogs * eat the crumbs that fall from their master’s table.”

Context

25Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!” 26Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” 27Yule mwanamke akajibu, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka kwenye meza za bwana zao.” 28Ndipo Yesu akamwambia, “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.” Naye binti yake akapona tangu saa ile. 29Yesu akaondoka na kwenda kando ya Bahari ya Galilaya. Kisha akapanda mlimani, akaketi huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.