Native Bible

Matthew 15:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”

Matthew 15:26 in English

Matthew 15:26 · Berean Standard Bible

But Jesus replied, “It is not right to take the children’s bread and toss it to the dogs.”

Context

24Yesu akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.” 25Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!” 26Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” 27Yule mwanamke akajibu, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka kwenye meza za bwana zao.” 28Ndipo Yesu akamwambia, “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.” Naye binti yake akapona tangu saa ile.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.