Native Bible

Matthew 15:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.”

Matthew 15:24 in English

Matthew 15:24 · Berean Standard Bible

He answered, “I was sent only to the lost sheep of the house of Israel.”

Context

22Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu jirani na hizo akaja kwake akilia, akasema, “Nihurumie, Ee Bwana, Mwana wa Daudi! Binti yangu amepagawa na pepo mchafu, na anateseka sana.” 23Lakini Yesu hakumjibu neno. Hivyo wanafunzi wake wakamwendea na kumsihi sana, wakisema, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele.” 24Yesu akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.” 25Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!” 26Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.