Mathayo 14:18
Matthew 14:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.”
Matthew 14:18 in English
Matthew 14:18 · Berean Standard Bible
“Bring them here to Me,” Jesus said.
Context
16Yesu akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.” 17Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” 18Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.” 19Yesu akaagiza makutano wakae chini kwenye nyasi. Akaichukua ile mikate mitano na wale samaki wawili, akainua macho yake akatazama mbinguni, akavibariki na kuimega ile mikate. Kisha akawapa wanafunzi, nao wanafunzi wakawagawia makutano. 20Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.