Mathayo 14:16
Matthew 14:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.”
Matthew 14:16 in English
Matthew 14:16 · Berean Standard Bible
“They do not need to go away,” Jesus replied. “You give them something to eat.”
Context
14Yesu alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia na akawaponya wagonjwa wao. 15Ilipofika jioni, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na muda sasa umekwisha. Waage makutano ili waende zao vijijini wakajinunulie chakula.” 16Yesu akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.” 17Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” 18Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.