Native Bible

Matthew 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Yesu,

Matthew 14:1 in English

Matthew 14:1 · Berean Standard Bible

At that time Herod the tetrarch heard the reports about Jesus

Context

1Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Yesu, 2akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji; amefufuka kutoka kwa wafu! Hii ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.” 3Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.