Native Bible

Matthew 14:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji; amefufuka kutoka kwa wafu! Hii ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Matthew 14:2 in English

Matthew 14:2 · Berean Standard Bible

and said to his servants, “This is John the Baptist; he has risen from the dead! That is why miraculous powers are at work in him.”

Context

1Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Yesu, 2akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji; amefufuka kutoka kwa wafu! Hii ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.” 3Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake, 4kwa kuwa Yohana alikuwa amemwambia Herode: “Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.