Mathayo 13:53
Matthew 13:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka.
Matthew 13:53 in English
Matthew 13:53 · Berean Standard Bible
When Jesus had finished these parables, He withdrew from that place.
Context
51Yesu akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?”
Wakamjibu, “Ndiyo.” 52Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.” 53Yesu alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka. 54Alipofika mji wa kwao, akawafundisha watu katika sinagogi lao. Nao wakastaajabu, wakauliza, “Mtu huyu amepata wapi hekima hii na uwezo huu wa kufanya miujiza?” 55“Huyu si yule mwana wa seremala? Mama yake si yeye aitwaye Maria, nao ndugu zake si Yakobo, Yosefu, Simoni na Yuda?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.