Mathayo 13:51
Matthew 13:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?” Wakamjibu, “Ndiyo.”
Matthew 13:51 in English
Matthew 13:51 · Berean Standard Bible
Have you understood all these things?” “Yes,” they answered.
Context
49Hivi ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia. Malaika watakuja na kuwatenganisha watu waovu na watu wenye haki. 50Nao watawatupa hao waovu katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.” 51Yesu akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?”
Wakamjibu, “Ndiyo.” 52Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.” 53Yesu alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.