Native Bible

Matthew 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao,

Matthew 12:9 in English

Matthew 12:9 · Berean Standard Bible

Moving on from there, Jesus entered their synagogue,

Context

7Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia, 8kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” 9Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao, 10na huko alikuwepo mtu aliyepooza mkono. Wakitafuta sababu ya kumshtaki Yesu, wakamuuliza, “Je, ni halali kuponya siku ya Sabato?” 11Yesu akawaambia, “Ni nani miongoni mwenu, mwenye kondoo wake ambaye huyo kondoo akitumbukia shimoni siku ya Sabato hatamtoa?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.