Mathayo 12:7
Matthew 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia,
Matthew 12:7 in English
Matthew 12:7 · Berean Standard Bible
If only you had known the meaning of ‘I desire mercy, not sacrifice,’* you would not have condemned the innocent.
Context
5Au hamjasoma katika Sheria kwamba siku ya Sabato makuhani huvunja sheria ya Sabato Hekaluni lakini hawahesabiwi kuwa na hatia? 6Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. 7Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia, 8kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” 9Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.