Native Bible

Matthew 12:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa.

Matthew 12:6 in English

Matthew 12:6 · Berean Standard Bible

But I tell you that something greater than the temple is here.

Context

4Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa wakfu, yeye na wenzake, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya, isipokuwa makuhani peke yao. 5Au hamjasoma katika Sheria kwamba siku ya Sabato makuhani huvunja sheria ya Sabato Hekaluni lakini hawahesabiwi kuwa na hatia? 6Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. 7Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia, 8kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.