Mathayo 12:8
Matthew 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”
Matthew 12:8 in English
Matthew 12:8 · Berean Standard Bible
For the Son of Man is Lord of the Sabbath.”
Context
6Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa. 7Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia, 8kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” 9Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao, 10na huko alikuwepo mtu aliyepooza mkono. Wakitafuta sababu ya kumshtaki Yesu, wakamuuliza, “Je, ni halali kuponya siku ya Sabato?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.