Mathayo 11:3
Matthew 11:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Matthew 11:3 in English
Matthew 11:3 · Berean Standard Bible
to ask Him, “Are You the One who was to come, or should we look for someone else?”
Context
1Baada ya Yesu kumaliza kutoa maagizo kwa wanafunzi wake kumi na wawili, aliondoka hapo akaenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao. 2Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristo* alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake 3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?” 4Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona: 5Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.