Mathayo 11:4
Matthew 11:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona:
Matthew 11:4 in English
Matthew 11:4 · Berean Standard Bible
Jesus replied, “Go back and report to John what you hear and see:
Context
2Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristo* alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake 3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?” 4Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona: 5Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema. 6Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.