Native Bible

Matthew 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.”

Matthew 11:6 in English

Matthew 11:6 · Berean Standard Bible

Blessed is the one who does not fall away on account of Me.*”

Context

4Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona: 5Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema. 6Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.” 7Wale wanafunzi wa Yohana walipokuwa wanaondoka, Yesu akaanza kusema na makutano kuhusu Yohana Mbatizaji. Akawauliza, “Mlipokwenda kule nyikani, mlikwenda kuona nini? Je, ni unyasi ukipeperushwa na upepo? 8Kama sivyo, mlikwenda kuona nini basi? Mtu aliyevaa mavazi ya kifahari? La hasha, watu wanaovaa mavazi ya kifahari wako katika majumba ya wafalme.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.