Mathayo 11:2
Matthew 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristo* alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake
Matthew 11:2 in English
Matthew 11:2 · Berean Standard Bible
Meanwhile John heard in prison about the works of Christ, and he sent his disciples *
Context
1Baada ya Yesu kumaliza kutoa maagizo kwa wanafunzi wake kumi na wawili, aliondoka hapo akaenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao. 2Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristo* alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake 3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?” 4Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.