Native Bible

Matthew 1:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.

Matthew 1:11 in English

Matthew 1:11 · Berean Standard Bible

and Josiah the father of Jeconiah and his brothers at the time of the exile to Babylon.

Context

9Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia, 10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia, 11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 12Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli, 13Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.