Mathayo 1:10
Matthew 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,
Matthew 1:10 in English
Matthew 1:10 · Berean Standard Bible
Hezekiah was the father of Manasseh, Manasseh the father of Amon,* Amon the father of Josiah,
Context
8Asa akamzaa Yehoshafati,
Yehoshafati akamzaa Yoramu,*
Yoramu akamzaa Uzia, 9Uzia akamzaa Yothamu,
Yothamu akamzaa Ahazi,
Ahazi akamzaa Hezekia, 10Hezekia akamzaa Manase,
Manase akamzaa Amoni,
Amoni akamzaa Yosia, 11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 12Baada ya uhamisho wa Babeli:
Yekonia alimzaa Shealtieli,
Shealtieli akamzaa Zerubabeli,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.