Native Bible

Matthew 1:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia,

Matthew 1:9 in English

Matthew 1:9 · Berean Standard Bible

Uzziah was the father of Jotham, Jotham the father of Ahaz, and Ahaz the father of Hezekiah.

Context

7Solomoni akamzaa Rehoboamu, Rehoboamu akamzaa Abiya, Abiya akamzaa Asa, 8Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu,* Yoramu akamzaa Uzia, 9Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia, 10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia, 11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.