Native Bible

Matthew 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu,* Yoramu akamzaa Uzia,

Matthew 1:8 in English

Matthew 1:8 · Berean Standard Bible

Asa was the father of Jehoshaphat, Jehoshaphat the father of Joram, and Joram the father of Uzziah.

Context

6Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. 7Solomoni akamzaa Rehoboamu, Rehoboamu akamzaa Abiya, Abiya akamzaa Asa, 8Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu,* Yoramu akamzaa Uzia, 9Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia, 10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.