Mathayo 1:6
Matthew 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
Matthew 1:6 in English
Matthew 1:6 · Berean Standard Bible
and Jesse the father of David the king. Next: David was the father of Solomon by Uriah’s wife,
Context
4Aramu akamzaa Aminadabu,
Aminadabu akamzaa Nashoni,
Nashoni akamzaa Salmoni, 5Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu,
Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu,
Obedi akamzaa Yese, 6Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme.
Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. 7Solomoni akamzaa Rehoboamu,
Rehoboamu akamzaa Abiya,
Abiya akamzaa Asa, 8Asa akamzaa Yehoshafati,
Yehoshafati akamzaa Yoramu,*
Yoramu akamzaa Uzia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.